> Mahaba...Mke wangu anatamani kufanya mapenzi kinyume na maumbile | MAPENZI

Mahaba...Mke wangu anatamani kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Watu hawajawahi kuridhika, na kamwe hawajapata kutoshelezwa na kitu chochote, kufikia hatua ya kushuka chini toka shimo moja hadi kulifikia shimo la tatu ili kutafuta raha zaidi. Ninazungumzia kufanya ngono kwa njia ya ulawiti (ufiraji) ambacho si kitendo chema kwa mwanamke. Idadi ya wanaume wanaowafira wake zao inakua kwa kasi. Tuliamua kufanya utafiti miongoni mwa wanawake walioolewa na wasioolewa na kugundua kuwa asilimia 33 ya wanawake wenye umri 18-44 hulawitiwa na waume au wapenzi wao. Wanaoshiriki ngono ya aina hii wanadai kuwa eneo la mkundu lina neva zinazowasisimua sana lakini wengi wao wanaelezea kuwa wanafanya hivyo kwa kuwaridhisha tu waume zao.

Wakati watu wakifurahia aina hii ya ngono, wanapaswa kujua kuwa wanajiweka katika mazingira ya kukabiliwa na athari mbalimbali za kiafya kila mara wanaporudia tendo hili.

Madhara yatokanayo na kufanya mapenzi kinyume na maumbile..

    1. Kutokwa na damu kuatia kuchanika kwa ngozi laini ya mkundu (wa ukuta / bitana inaweza Sila na uharibifu kwa urahisi kutokana na yakikwaruza).
    2. Hakuna sehemu nyingine katika mwili yenye vimelea (bakteria) kuzidi mkundu. Ni rahisi kuambikwa ugonjwa kama UTI (Urinary Tract magonjwa), pia magonjwa ya ngono, kama VVU, malengelenge, na magonjwa mengine.
    3. Kuwashwa na kuchubuka ngozi ya mboro, kutokana na mkundu kutokuwa na majimaji.
    4. Kulegeza misuli ya mkundu na kula tendo linapofanyika ndipo misuli ya mkundu inapolegea zaidi.
    5. Kansa ya njia ya haja kubwa (colony cancer)
    6. Kuongeza hatari ya maambukizi ya VVU kwa wale wanaotoka nje ya ndoa, na magonjwa mengine.

Makala mbalimbali zinafundisha kuwa athari nilizotaja hapo juu zaweza kupunguzwa endapo mfirwaji atapaka mafuta mkunduni na mfiraji akitumia kondomu. Kama mshauri na mtoa huduma ya afya, siwezi kupendekeza aina hii ya ngono. Madhara yake ni makubwa na yanaweza kumsababishia mkeo matatizo makubwa zaidi. Hivyo basi kwa nini kutafuta raha toka shimo la tatu wakati unajua unahatarisha afya ya mkeo na yako pia. Kuzingatia kuwa katika afya na hali njema kimwili ni utajiri. Kumbuka kuwa baadhi ya matatizo yanayotokana na ufiraji hayana tiba na hivyo mtu atateseka maisha yake yote.

Sijawahi kufira katika maisha yangu, nina maadili yangu na kumthamini mwenzangu. Unapohitaji kupata utamu wa ngono tumia njia ya asli. Hata kama mkeo atakusihi, kumkubalia sio kumpenda – ni KUMHARIBU.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top