> MAPENZI: mapenzi

Usikate tamaa ya kumpata yule umpendae, Jifunze hapa

Kati ya vitu muhimu katika maisha ya binadamu ni pamoja na ndoa. Ni tendo la muunganiko ambalo linaongeza thamani, heshima na utu mbele ya jamii inayokuzunguka. Wengi wanatamani sana kupata wenzi.
Pamoja na ukweli huo, zipo changamoto ambazo husababisha kuchelewa kupata au kumpata mbabaishaji ambaye hana lengo la dhati.

Wapo wasichana warembo, wanaume watanashati sana, lakini kila wanapokuwa kwenye uhusiano, wanagundua kwamba wapo na watu ambao ‘bado wanazuga’. Hawana mpango wa kuingia kwenye muunganiko wa ndoa.
Hapo ndipo panapotokea kuachana. Rafiki yangu, kuacha, kuacha au kuachana mara kwa mara, kunasababisha sononeko la moyo. Kunakaribisha simanzi na mwisho wake, mhusika hukata tamaa ya kupata mwenzi wa maisha.
Inawezekana kabisa, hata wewe uko kwenye kundi hili. Aaaah! Usihuzunike, anza sasa kutabasamu, maana unakwenda kukutana na dawa baada ya kumaliza kusoma mada hii.


ANZA KUJIJALI
Maumivu ya kuachwa kila wakati, yanaweza kusababisha kutokujiweka ‘sopsop’, kitu ambacho ni tatizo kubwa sana. Sahau maumivu yote, angalia maisha yako yajayo. Rafiki yangu, hivi unadhani kama hujipendi, hujithamini nani atakupenda?
Ninaposema ujipende namaanisha ujipe upendo ule wa kawaida wewe mwenyewe kabla ya kuhitaji upendo wa mtu mwingine. Mwingine inawezekana hajitunzi, anavaa nguo chafu, hapigi pasi, nywele zipo timtim n.k
Nani atakupenda kwa misingi hiyo? Hakuna anayependa kuwa na mtu ambaye hana desturi ya usafi, kwanza hata kama ni mzuri kiasi gani unapokuwa upo rafu, hakuna mtu ambaye atausumbua moyo wake kuanza kukufikiria wewe usiyejipenda.
Siyo lazima wakati wote uwe ‘smati’, kwa kuwa inawezekana wengine wanafanya kazi ambazo zinawalazimu kuvaa nguo chafu, lakini baada ya hapo, unatakiwa kuwa katika hali ya usafi.
Upande wa wasichana siyo lazima uweke nywele zako dawa au usuke rasta wakati vitu hivyo huna uwezo navyo, unaweza ukasuka nywele zako vizuri au wakati mwingine ukanyoa mtindo mzuri unaokubalika ambao hautakuweka katika mtazamo mbaya kwa jamii.
Anza kujipenda kabla ya kuhitaji upendo kutoka kwa mtu mwingine, hiyo itakusaidia kuwa na mvuto na mwonekano mzuri kiasi cha kuweza kumpagawisha mtu mwingine kuanza kuhisi cheche za moto wa mapenzi katika moyo wake.
Safiri na neno hili, huhitaji tena mateso katika maisha yako. Sawa jamani? Haya, tuendelee.

KUJIAMINI NI MUHIMU
Hili ni tatizo la kisaikolojia zaidi kwa sababu kuna baadhi ya watu wanakosa kujiamini. Kuna mwingine anaweza akakaa kwenye kioo kwa saa kadhaa na kuanza kujitoa kasoro katika mwili wake.
Hujiona mbaya asiyevutia na ambaye hana thamani kabisa katika ulimwengu wa mapenzi, hujiona hawezi kupata mpenzi katika maisha yake yote baada ya kujitoa kasoro hizo. Mwingine hujiona ana matiti mabaya, mfupi sana, mrefu sana ana matege, ana makengeza na kasoro nyingine zozote ambazo huhisi ni kosa kuwa nazo.
Nani amekuambia kuwa una kasoro? Mshukuru Mungu kwa kukuumba jinsi ulivyo, amini kuwa Mungu ana makusudi yake kukuumba kama ulivyo.
Kuna watu wengine wanaweza kukupenda kutokana na hizo kasoro unazoziona katika mwili wako!
Kujitoa kasoro na kutojiamini ni kosa kwa kuwa unakuwa unajiathiri kisaikolojia na kujiona hufai kupendwa mwisho wa yote unakuja kumparamia mtu yeyote kwa nia ya kujiondolea mkosi na akishakutumia anakuacha solemba unabaki na machungu moyoni na kujiongezea matatizo zaidi.
Naamini baada ya kujipenda wewe na kujiamini kuwa unavutia, utakuwa katika hali ya kawaida kisaikolojia na wakati mwingine anaweza akajitokeza akupendaye na kukuomba hifadhi ya moyo wake kwako.
Sababu ya kukaa muda mrefu bila mpenzi au kutamkiwa kuwa unapendwa isiwe chanzo cha kupata maumivu mapya ya moyo. Kuachwa kwako, kusiwe chanzo cha kuingia kwa mwingine ambaye anaweza kuwa mwiba zaidi.
Acha papara, tulia, pata wasaa wa kumchunguza huyo anayedai anakupenda kwa muda wa kutosha kwa kuwa inawezekana naye akawa ni mmoja kati ya wale wanaotaka kukufanya chombo cha starehe!
Akikuhitaji kuwa na wewe (huyo mwanaume)lazima umchunguze kwanza na usiruhusu aujue mwili wako kabla ya kuelewa nia yake hasa kwako ni ipi; starehe ya muda mfupi au anakuhitaji kimaisha.
Usifanye mambo kwa papara, unahitaji utulivu wa kutosha ili uweze kumpata yule ambaye ni muhimu kwa ajili yako.
Ukijiamini na kuwa makini ni wazi kuwa utampata yule anayekupenda kwa dhati.

Mapenzi! Ukitaka furaha,Gharamia kwanza furaha ya mwenzi wako..

Sanaa ya busara katika maisha inajumuisha vitu vinne: Nia na malengo, Mungu ana nafasi yake, hatua chanya na mafanikio endelevu. Ukikaribisha busara kama kanuni yako ya kuishi, maana yake unahitaji amani na furaha.

Ukitaka kuishi kwa busara ni lazima uwe na mtazamo wenye furaha. Lazima uingalie dunia kwa fikra na macho, angalia jinsi watu wengine wanavyosononeka kwa kuikosa, halafu chukua mfano wa wanaoshi kwa amani yenye afya.

Unapoitazama dunia kwa fikra, hapo unapaswa kubeba ufahamu wa uchafu mgumu uliopo. Fikra zinakuja kutokana na kumbukumbu ambazo hutafsiri uzoefu wa nyuma ambao utakupa mwanga wa hali ya sasa. Hatua hizo zinatakiwa kutoa muongozo katika kuandaa furaha.
Mwandishi wa saikolojia, Swami Sukhabodhanda katika makala yake yenye kichwa “Love and Happiness: Art of Wise Living Brings Great Joy” ameandika:

“Mtu sahihi ni yule anayejifunza kupunguza msongo wa mawazo, Anayejifunza kuongeza furaha na kupanua uwezo wake.”
Hii ina maana kuwa kutafuta furaha ni wajibu wako, lakini swali la kujiuliza ni hili, mwenzi wako akiwa hana amani wewe utaipata wapi? Akiwa amekasirika utaweza kucheka? Jibu ni kwamba haiwezekani na endapo moyo wako una amani wakati mwenzako amejikunja, ni wazi kwamba penzi lenu limejaa mashaka.

Hivyo basi, naungana na Swami kushauri kwamba ni lazima kila mtu ajifunze kupunguza msongo wa mawazo na kuongeza furaha. Ukifanikiwa kuiweka chanya furaha ya mwenzi wako na yako itapatikana. Zingatia msemo kuwa ninyi ni kitu kimoja wewe ni yeye!

Watu wengi wamekuwa wakishindwa kustawisha uhusiano wao kwa sababu wanashindwa kuishi ndani ya wenzao. Wanatenda mambo ambayo yanawaumiza wenzi wao bila kujiuliza. Hawana malengo chanya!

Mtu mwenye malengo mazuri katika mapenzi ni yule ambaye anajiuliza kabla ya kuzungumza au kutenda. Anatafakari kauli au kitendo na matokeo yake. Pointi kuu ni mapokeo ya mwenzi wake. Ni kosa kufanya tukio lolote au kutoa matamshi yanayoweza kumuudhi mwenzako.

Ni lazima uwe na angalizo kwamba kwako linaweza kuwa dogo lakini kwa mwenzako ni kubwa. Heshimu kosa lolote kwamba linaweza kuhatarisha uhusiano wako, kwa hiyo jichunge kila eneo.

Wewe ni mtu tu duniani, inawezekana uzito wako ni mdogo. Ukiwepo na usiwepo taifa halisomi upungufu wowote! Hata hivyo, kupitia mapenzi wewe ni dunia mbele ya mwenzi wako. Kila kitu hakina thamani kwake bila uwepo wake, kwa hiyo heshimu hisia zake, ingia gharama kumletea furaha.

Nimeeleza hapo juu kuwa mfumo sahihi wa mapenzi ni kuishi ndani ya mwenzake. Yaani kuzijulia hisia zake na kujenga nidhamu ya kuepuka kumpa maumivu yasiyo na sababu. Unaelewa kuwa mwenzako hapendi uchelewe kurudi nyumbani, kwa hiyo usifanye makusudi kuchelewa mitaani.

Ni kweli unapenda kuketi na wafanyakazi wenzako au marafiki mkipata za moto na baridi baada ya kazi. Lakini wakati unatekeleza hilo, kwa kila hatua jiulize, je, hicho ndicho ambacho mwenzi wako anakihitaji? Kama ndiyo basi fanya, ikiwa jibu ni kinyume chake, changamsha miguu umuwahi nyumbani.

Jiulize swali; Kuna sababu gani ya kugandana na marafiki mitaani wakati mwenzako amenuna nyumbani? Jiongeze lingine; Mtakapokuwa ‘mnaparurana’ nyumbani hao unaowaendekeza watakuwepo? Pengine wakati wao wanalala usingizi mzuri, wewe kwako hakulaliki.

Tafakari; Kuna mambo mengi ambayo mnachangia pamoja, ulimwengu ambao unapita naye ni usiku wa giza kwa wengine. Hulioni kama hilo ni maalum? Tambua thamani ya mwenzi wako, hivyo tekeleza furaha yake na umtimizie kwa vipimo sahihi.

Furaha ya mpenzi wako ni gharama, kwa hiyo unahitaji kujipanga ili kumtimizia. Katika uhusiano wa kimapenzi, hauna cha kupoteza kwa kugharamia amani na furaha ya mpenzi wako. Umegundua kwamba ili mwenzio awe sawa ni lazima uende Zanzibar, uwezo upo fanya hivyo!

Tafsiri yake ni kuwa unatakiwa kufanya kila linalowezekana ili mpenzi wako awe na furaha. Sifa ya ubabe na kupuuza hisia za mwenzi wako haina maana. Ukimpuuza leo, maana yake unataka kesho akupuuze. Akikutenda wewe utafurahi? Usingoje msemo wa mkuki kwa nguruwe ukufike!

Zipo hasara nyingi ambazo unaweza kukutana nazo endapo utashindwa kugharamia furaha ya mwenzi wako. Hii inamaana kuwa ni vema unisome vizuri ili ujifunze.

Asilimia kubwa ya watu ambao wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi, husumbuliwa na tatizo la kutotengeneza penzi. Wakiongozwa na msemo kuwa kila kitu hupangwa na Mungu, nao huacha mapenzi yao yaende kama yalivyo. Hawaamini kuwa barabara ilichongwa, ndiyo magari yakapita.

Ukiona vyaelea ujue vimeundwa! Hii inamaana kuwa kila kinachostawi, nyuma yake kuna ujenzi uliofanyika. Usimuone babu na bibi wanasherehekea miaka 50 ya ndoa yao ukadhani ni jambo lililokuja lenyewe. Kuna mambo ya msingi ambayo waliyafanya kuhakikisha wanadumu mpaka kuzikana.

Ukiwa mwingi wa hasira, matatizo yanayotokea hutaki kuyaweka mezani ili myajadili na kuyamaliza, kila siku utakuwa unabadili uhusiano. La! Hutabadili lakini utabaki kwenye penzi ambalo unaishi bila amani. Huna furaha! Ni mpenzi lakini hamfungamani, mnakuwa kama wapinzani wa jadi!

Uhusiano bora ni ule ambao wanaoujenga ni watu makini na ambao wanajua nini ambacho wanakifanya. Wenye kufahamu thamani ya penzi lao kila mmoja anaheshimu umuhimu wa mwenzake. Wanaoguswa kutoa chochote kuhakikisha wanaendelea kuwa bora kimapenzi.

Hii ndiyo sababu ya kukutaka uhangaike na ikiwezekana utumie gharama yoyote ili mwenzi wako awe na furaha. Utengeneze thamani yako kwake, kiasi kwamba akikuona aone mbele yake kasimama mtu aliyeishikilia dunia yake. Inawezekana! Mapenzi ni ujanja, utundu, kuguswa na kujitolea!

Huna sababu ya kushindwa kugharamia furaha ya mwenzi wako kwa sababu ukiacha gharama yake ni kubwa. Utakosa kila kitu muhimu ambacho mtu sahihi angependa kupata kutoka kwa mwenzi wake. Na hiyo itakusumbua! Kama hutafikiria, basi utaona kwa wengine na utatamani!

Hapa chini nakuchambulia hasara ambazo unaweza kukutana nazo kwa kushindwa kuhudumia furaha ya mwenzi wako;

UTAKOSA AMANI
Misongo (stresses) ya kimaisha inatesa. Inawezekana unafanya kazi sana. Wakati mwingine masuala ya kiofisi au biashara hayaendi kama inavyotakiwa. Unashinda siku nzima ukipigana kuhakikisha unaendelea mbele. Iwe umeajiriwa, umejiajiri au umeajiri! Kichwa hakitulii mpaka unahisi ni kizito.

Kufikia hapo, bila shaka unahitaji faraja. Ni kipindi ambacho huhitaji mwenzi sahihi ili aweze kukusahaulisha matatizo ya kimaisha. Mtu ambaye anakujua ulivyo, kwa hiyo inamuwia rahisi kutambua kwamba upo kwenye matatizo na kuchukua hatua zinazofaa kurekebisha hali.

Fikiria kwamba ukiwa katika hali hiyo, unarudi nyumbani ambako unakutana na moto mwingine. Amani hakuna! Kichwa chako kinaweza kuchanganyikiwa. Kama sivyo, maradhi ya moyo yatakunyemelea. Kupata kilicho bora, kiandae. Lima shamba na kupalilia ili upate mavuno mazuri.

Ukifanikiwa kumuweka mwenzi wako katika hali ya furaha, utapata faraja muda wote. Yakikufika, ukirejea nyumbani utakuta amani. Utakutana na tiba ya msongo wa mawazo ulionao. Hiyo ndiyo tafsiri ya upendo, kwa hiyo usije kukosa utulivu wa moyo. Anza leo kumfurahisha ili naye akupe mahaba tele!

UTACHOKWA HARAKA
Hakuna kitu kibaya kwenye mapenzi kama mtu kuchokwa na mwenzi wake. Lakini hilo siyo zito, ni rahisi mno kama hutoamua kushughulikia kasoro ulizonazo.

Huna ubunifu, mwenzi wako haoni kitu chochote kipya. Mwenzi wako hana furaha wewe hujishughulishi. Ataanza kukuona ni mzigo na mwisho atakuchoka. Usikubali hali hiyo ikutokee, anza leo! Maisha ya kimapenzi ni mazuri sana endapo utaamua.

MTASHINDWA KUJADILIANA
Mwenzi wako hana furaha, wewe unaingia mlango huu naye anapitia ule. Hayo ni maisha mabaya mno! Mnapatwa na mambo ambayo mngependa kushauriana, lakini mnashindwa kufanya hivyo kwa sababu mnaishi kama Simba na Yanga.

Kuna watu wanaishi kwa kalamu, wanalala mzungu wa nne! Kama matumizi, yanawekwa mezani, akitaka kutoa agizo anaandika ‘kimemo’ na kukiacha juu ya stuli! Hawaguswi kutafuta furaha yao, hawataki kuzungumza na kumaliza tofauti zao.

Matokeo yake ni siri za ndani kuzagaa mitaani. Hili likikufika ni sawa na msiba. Chukua hatua!

HUTAPATA HUDUMA BORA
Mwenzi wako anahitaji kuwa na furaha ili aweze kukupa huduma bora. Amini kwamba mwenzi wako ndiye ambaye anaweza kukufanya hii dunia uione yote ni yako. Changamka leo!

Unahitaji huduma bora kutoka kwa mwenzi wako, na hilo anaweza kulitimiza endapo atakuwa na furaha dhidi yako. Hii inamaana kwamba kuanzia sasa, punguza maudhi kwa mwenzi wako na umzidishie amani. Akupende na aamini ndani ya nafsi yake kwamba wewe ndiye mtu bora zaidi maishani mwake.

Ukimfurahisha, atakupa huduma bora ambayo huwezi kuipata popote. Bila shaka atakapokuhudumia, nawe utajiona umepata mwenzi sahihi wa maisha yako. Hayo ndiyo mapenzi. Yakistawishwa hustawi!

Mambo 5 ya kuzingatia katika Mapenzi

1. Uaminifu:
Katika maisha ya uhusiano, mpaka mnaamua kuwa wawili ina maana mmekubali kwa ridhaa yenu. Mmewaacha wengi na kuamua kuwa pamoja, hivyo mnatakiwa kulilinda penzi lenu kwa kuwa waaminifu.

2. Tabia nzuri:
Hii ndiyo inayobeba uwakilishi wa mwanadamu ndani ya nyumba, ndiyo nguzo imara ambayo itakufanya usimame popote kwa kujiamini.
Katika hili wengi hukosea wanapojiona wana sura na umbile zuri au fedha, basi huanza kuwanyanyasa wenzao kwa kujivunia walivyonavyo na kusahau hakuna kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya kukasirishwa.
Mara nyingi uhusiano wa watu huvunjika kutokana na tabia ya mmoja kuwa mbaya isiyovumilika.

3. Huruma:
Ndani ya uhusiano, huruma ni kitu muhimu sana, ukiwa nao, huwezi kumuumiza mwenzako.
Nyumba yenye huruma kwa wapendanao hudumu milele na kutenganishwa na kifo. Asiyekuwa na huruma, hufanya jambo lolote bila kujali maumivu ya mwenzake.

4. Upendo:
Huu ndiyo unaobeba kila kitu kwa vile mwenye upendo ana huruma, ni mvumilivu na tabia njema ndiyo asili yake. Wote mkiwa na upendo hata familia yenu itakuwa yenye tabia nzuri.
Hapa mara nyingi kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya watu kuchagua watu hasa wanawake kuchukia ndugu wa mume na mwisho wa siku ndoa huvunjika.

5. Uvumilivu:
Huu ndiyo muhimu katika maisha yetu ya kila siku, wengi wasio wavumilivu, wamekuwa wakitengana na wenzao. Kuna vitu ambavyo tunatakiwa tuvumiliane kwa vile wanadamu ni viumbe wenye upungufu.
Kukosana ni sehemu ya maisha, lazima mvumiliane, mtangulize kusameheana na kuyasahau yaliyopita. Yapo ya kuvumilia, lakini si yaliyovuka mipaka kwa mtu kushindwa kujirekebisha.

Nimemdanganya boyfriend wangu mimi ni Bikira na kaamini...Tatizo je akigundua.....

I am a 22-year-old university student. I came to university with my v*rg*nity intact.

After being here for a few months, I am no longer a v*rg*n and I have had s*x with three different guys, none of them I can call my boyfriend. I have a boyfriend. He is five years older than I am. We were both Christians. We kissed but never had s*x. I can no longer consider myself a Christian. Whenever he calls me, I don't know what to talk to him about because I feel so guilty. I told him he should forget me because I have changed, but I didn't tell how I have.

My roommate got me into drinking and having s*x with guys. One weekend my roommate had s*x with two different guys. We talked about it. Sometimes she goes to the guys' room and have s*x with them. I love her because she is good to me. I suffer from pr*m*nstrual pain and she helps me during my time of the month. Sometimes I think she has made me a very bad girl.

My boyfriend still thinks I am a virgin. Should I still tell him I am not and he should take his mind off me? 

Aina 5 za wasichana ambao mwanaume upaswi kuoa

1. The Material Girl. She’s all about the money, honey. She’s checking out your car, level of professional success, and bank account before — and in all likelihood, instead of — seeing and appreciating the real you on dates. If you don’t escape her soon, you’ll start to feel like the most important parts of you are found in your wallet and/or bank account. It’s a dehumanizing experience to date this kind of woman, so why bother?

2. The Queen of Dependence. This lady is usually attractive, sweet, and open (yes, those are her good qualities). But she can’t make up her mind about what to have for dinner, let alone take a stand on making more important decisions in her life. From the minute the two of you meet, she’s leaning on you for advice and answers to every trivial question she encounters. She wants you to be crowned “King of All Her Choices,” but ruling over that kingdom gets old really, really fast. Next thing you know, you’re bored with doing all the mental work of managing her life for her… and then wondering why you feel so disengaged.

3. Ms. Criti-catastrophe. This woman’s got what professionals call an “overly developed critical super-ego.” In layman’s terms, she’s a nitpicker extraordinaire. It’s the way you drive, style your hair and clothes, the guys you hang out with, the seats you grab at the movie… nothing you do will ever be quite right, in her opinion. The first thing to go after a few dates with her is your self-esteem. Clearly, you’re already a failure in her eyes — and if you don’t look away from her judgmental gaze pretty fast, you’ll see your own reflection there and internalize her damaging opinions as if they were your own.

4. The Bitter Girl.
This woman is quick to let you know that everything sucks, and she’s so mistreated by everyone. However, you didn’t cause Bitter Girl’s troubles — and you can’t cure them, either. In fact, you’ll be her next excuse for why things are going so horribly wrong in her life. Your real nightmare begins when once-positive nature gets overwhelmed by her perpetually gloomy outlook and daily dose of misery.

5. Miss Demeanor. She might have a mighty fine look and smile, but she’s also got quite a demeanor to go with those assets… and here’s what I mean by this: “da nicer you are, da meaner she is.” Her harsh attitude makes a pretty poor impression on others when you’re out in public. Oh sure, when you’re alone together she can be fun and pleasant enough. But put her in a situation where she’s not the star of the show and she becomes cranky, outwardly irritable, and has no interest in integrating into your life when you’re clearly just a bit player in hers. The longer you’re with her, the quieter you’ll become, lest you risk unleashing the beast (e.g., her mouth, shrieking one of her infamous tirades).

QUOTE: Love is friendship that has caught fire. It is quiet understanding, mutual confidence, sharing and forgiving. It is loyalty through good and bad times. It settles for less than perfection and makes allowances for human weaknesses.

Maneno matamu ya kimahaba yatakayomfanya mpenzi wako awe na hamu ya kufanya mapenzi



Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "ny#ge"kabla ya kuanza kufanya map3nzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi!

Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my l0ve" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa nafasi yake.......! Na kila mmoja akawa na hamu ya map#nzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu! Yanahusika saaana!

Style 10 kali za kumpagawisha mpenzi wako ndani ya 6/6..



Kwenye style hii,mwanamke inama kama vile unataka kujiweka kwenye position ya Doggy,mwambie mwanaume aje nyuma yako,akiwa amesimama,akamate kiuno chako kisha akibebe/akinyanyue usawa wa mashine yako ( itakuwa vizuri akiingiza kabisa mashine yake ) ili uweze kupata balance ibane miguu yako chini ya makalio yake huku mikono yako ikiwa inakupa balance.

Faida ya style hii ni kuwa inaruhusu mashine ya mwanaume iweze kupenya ndani zaidi na mwanaume atapata nafasi ya kuenjoy kuangalia mtikisiko wa makalio yako.
Unaweza kumpagawisha zaidi mumeo kwa kukata kiuno taratibu kulingana na jinsi unavyosikia raha.

Jifunze jinsi wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wao bila kujua..



1: KAULI
Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu.

Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwambia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu wa nguvu za kiume kwa kuwaambia maneno kama haya: “Yaani siku hizi sijui umekuwaje, yaani huwezi kazi kabisa!”
2 : UJUZI

Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika’, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.

Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo.

Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi’, lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea’ hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: “Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja.” Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu.

3:USAFI
Mwanamke anapokuwa si msafi, huweza kumsababishia mwanaume matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Sote tunafahamu umuhimu wa usafi wa mwili na kero za uchafu wakati wa tendo, hivyo ni wazi kuwa mwanamke akiwa mchafu atamfanya mwanaume apoteze msisimko na uwezo wa tendo la ndoa. Unadhifu wa mavazi na mwili ni muhimu sana katika mapenzi.

4:GUBU
Jambo lingine linaloweza kumsababishia mwanaume upungufu wa nguvu za kiume ni gubu au karaha za maneno ya uchokozi yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Uchokonozi wa mambo, ugomvi, usaliti na hali ya kutokuwa na staha ni mambo yanayosababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Mwanamke anapokuwa mwingi wa maneno ya kashfa, dharau na matusi huweza kumfanya mume amchukie na kutopenda kushiriki naye tendo. Uchunguzi unaonesha kwamba wanawake walioolewa wenye tabia hii, huwafanya waume zao wawe na msisimko wa kimapenzi kwa wanawake wa nje kuliko wake zao hao.

5:USALITI
Tabia ya usaliti kwa mwanamke ni chanzo kingine cha mwanaume kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapoona, kuhisi au kubaini kuwa anasalitiwa, huumia sana moyoni, maumivu ambayo hatimaye humfanya muhusika kuwa na mawazo mengi ambayo humuondolea hamu ya tendo

OMG!!!Mke wa rafiki yangu ananitaka nimuongezee njia ili asipate tabu wakati wa kujifungua...



Wanaume muwatendee veyema wake zenu baada ya kujua ushawekeza katika tumbo lake kwani huwa wanakuwa na hamu kali sana baada tu ya kupata ujauzito...


Nkama utakuwa mwanaglifu basi hapo ni lazima tu ugagongewa mkeo na si labda utakuwa umfikishi kunako ila hata ukiwa na majukumu mengi ni na kushindwa kuwa nae kwamuda anaokuhitaji ni sababu tosha ya yeye kujisikia kutoka na mwanaume mwingine ili kukidhi haja yake na vile vile kufanya ipasavyo ni haki yake ilikuaandaa njia wakati wa kujifungua.....

DUUUH!! Harusi yavunjika baada ya bwana harusi kushindwa kujibu swali aliloulizwa na mkewe mtarajiwa..




There is information that has been given the headlines, this refers to a wedding one failure out India story is a work of the groom failure math question was put to him quite common and bride.

Eye witnesses have said the wedding that the groom was asked this question; that " 15 + 6 =? "
Wedding ceremony that was cut off during after bride started talking angrily after being embarrassed by the act of giving her husband a potential answer to the same calculation that is 17.

Bride he left the stage he is angry and says he can not marry someone who did not go to school.

Brother of the husband and wife wedding agreed kurudishiana All gifts were made for the celebration of the loved ones.
A large percentage of Indian marriages are arranged by parents and often married couple meets for the first time the day of their wedding ceremony.
His father and bride, Mohar Singh  , who had planned a wedding in the village of Rasulabad said that her son was surprised that her husband prospective  Ram Baran no education.

Madhara ya kufanya Ngono kupita kiasi..Linda ndoa yako ...Jifunze hapa



Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.

Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari.

Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.
Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana hata kwenye nguzo ya umeme na chini ya miti kwa vile tu miili imetaka kufurahika.
Twende pamoja katika kutazama madhara hayo kwa kina.

KUPOTEZA HAMU YA TENDO.
Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao kutokana na sababu za kisaikolojia zinazoweza kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara.
Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu.
Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza kutokana na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na pengine sehemu moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linaweza kumfanya mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupoteza hamu naye na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.

KUUJAZA MWILI TAMAA KUBWA.
Tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo kumfanya mhusika asiwe mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya naye mapenzi na kwa wakati gani?
Watu wanaojiendekeza katika kufanya mapenzi mara kwa mara ndiyo wale ambao kila wanayemtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake.
Hawa ndiyo wanaobaka, kusaliti ndoa zao hata kwa watumishi wa ndani au kufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwa zimeathirika kwa tamaa ya mapenzi.
Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wa kuzuia tamaa yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani kuwa hata na houseboy ili akukate kiu ya penzi.

KUPOTEZA RAHA KAMILI YA TENDO.
Raha ya tendo hutegemea sana hisia iliyokuzwa kutokana na mapenzi sahihi na kiu ya kufanya mapenzi, hivyo basi ukiwa mtu wa kufanya mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako.
Kama ni mapenzi utakuwa unayafanya kwa mazoea tu na msisimko wako utakuwa mdogo!

KUPOTEZA NGUVU ZA MWILI.
Madhara mengine yanayoweza kupatikana kwa kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili.
Kama tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi, hivyo kuufanya mwili uchoke. Aidha lishe inapokuwa ndogo kwa wafanya mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko ya kimaisha.
Sambamba na hilo mbegu za uzazi zinazotoka kwa wanaume wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa dhaifu.

KUPATA MAGONJWA.
Kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na tamaa na hujikuta wanafanya mapenzi holela ambayo huweza kuwasababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi, lakini ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wanawake huwafanya waishiwe msisimko na kuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute unaoweza kuwakinga na michubuko wakati wa kujamiiana na hivyo kuwasababishia michubuko itakayoweza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.

Wakubwa tu!! Wanafunzi wafumaniwa wakingonoka live chooni..



Mapenzi ni kitu cha ajabu sana na kutokana na kitu upendo now days watu wengi wanashindwa kabisa kuji-control na kufanya mambo ambayo ni ya aibu na kusikitisha kwa katika jamii kwani binadamu tumepewa akili ya kuji-control kutambua jema na baya sasa twapaswa kufikiri kabla ya kutenda...

Sugar mummy anatafuta kijana ambaye anaweza kummudu kitandani na atamlipia kila kitu..Angalia mawasiliano yake hapa



My name is Sarah, Ebute-Lekki, Lagos, an nt yet married but i had two children, I need a sweet young man who can handle me on bed..

my contact is on my profile pls click on and login to get my profile CLICK HERE

Sifa za mwanamke/mwanaume mwenye mapenzi ya kweli



KUJIFUNZA ndiyo mwanzo wa maarifa. Siku zote nimekuwa nikisisitiza hivyo. Ndugu zangu, marafiki ambao wameungana nami katika ukurasa huu na safu nyingine ninazoandika katika Magazeti ya Global Publishers kuhusiana na uhusiano wamevuna mengi.


Fikra zao hazipo vilevile tena. Wana mabadiliko makubwa kwa sababu wamezoa maarifa ambayo yanawasaidia kufanya uamuzi sahihi kwenye uhusiano na wapenzi wao.
Kama ndiyo mara ya kwanza kuanza kusoma ukurasa huu, tafadhali usikose kila wiki, pia unaweza kujiunga nami kwenye Love & Life kwenye Gazeti la Uwazi kila Jumanne, All About Love katika Gazeti la Risasi kila Jumatano na Elimu ya Mapenzi kwenye Gazeti la Championi, toleo la Jumamosi.
Sasa turejee kwenye mada yetu, ingawa ni mambo ambayo nimeshazungumza mara nyingi huko nyuma, leo nakuletea sifa muhimu zaidi ambazo ni vizuri kuziangalia kwa mwenzi wako ili kujua kama ana upendo wa kweli.
Ukweli ni kwamba vijana wengi ambao wanapendana leo, mapenzi yao hayadumu kiasi cha kubatizwa jina la utamu wa banzoka. Lakini yote hii inatokana na ukweli kwamba elimu ya mapenzi ambayo ni muhimu kwa binadamu haitolewi ipasavyo.
Ipo dhana potofu kwamba kumfundisha mtoto mapenzi ni kumharibu, jambo ambalo si kweli bali inategemea mtoto huyo anafundishwa nini na kwa wakati gani.
Lakini cha kushangaza zaidi hata watu wazima ambao ni wadau wa mapenzi hawayajui matokeo yake wanajiingiza kwenye uhusiano wakiwa bumbumbu na hivyo kuteswa na changamoto zinazowakabili ndani yake.
Leo tutajifunza kwa undani sifa kumi za mpenzi bora ili tuweze kuwatambua wapenzi wetu kabla ya kuwapa mioyo na utu wetu. Twende tukaone.
1. Mpenzi wa kweli ni yule ambaye hatangoja kujua nini unahitaji yaani hana sababu ya kusubiri kuombwa ndiyo atoe msaada.
Kwa kuwa ana mapenzi ya dhati na anajua mahitaji yako, hawezi kusubiri kushurutishwa au ionekane kama vile anatoa hongo. Kipengele hiki kinawahusu wanaume zaidi.
2. Ni yule atakayejua wakati gani huna furaha au una furaha na atakuwa na wewe kwa hali zote mbili. Hata kama ukiwa huna furaha, hujiona mwenye jukumu kuhakikisha unakuwa nayo kwa namna yoyote ile.
3. Ni yule atayekuwa tayari kukusikiliza kwa kile utakachosema, hatajali umezungumza baya au zuri. Kwa bahati nzuri ni kwamba, ikiwa umekosea, yeye atachukua jukumu la kukuweka sawa.
Asiye na penzi la dhati, ukikosea kwake ni kichekesho. Badala ya kukurekebisha na kukuweka kwenye mstari, atakucheka.

4. Atakuwa na wewe wakati wa shida na raha. Hatakuwa mtu wa kuviziavizia na kujisogeza wakati ukiwa na raha.Kwake, shida yako itakuwa yake akiwa na imani kuwa, hata yake ni yako pia. Anayejiweka kando ukiwa na matatizo, siyo sahihi, mwepuke.
5. Mpenzi wa kweli atakuheshimu na hatapenda kuwa kikwazo cha maisha yako, atakulinda daima. Heshima ni msingi mkuu.
6. Atakupenda kwa moyo wake wote na wala si kwa ajili ya shinikizo fulani. Pesa si kipaumbele chake.
7. Mpenzi wa kweli ni yule atakayeonyesha kuthamini nafasi yako kama rafiki au mpenzi mbele ya wengine, hafichi hisia zake mbele za watu, atakutetea na kukufanya wa kwanza.
8. Kwenye ukweli mpenzi mzuri atasema bila kukuficha na atapenda kukuonyesha mifano ya namna ya kuwa mkweli na mwaminifu.
9. Mpenzi wa kweli ni yule anayejiamini, asiyeyumba katika maamuzi hata kama atalazimika kufanya maamuzi magumu.Kikubwa ni kusimamia katika ukweli na masilahi yanayoeleweka.
10. Atakuwa tayari kuvumilia, hatakuwa mwepesi wa hasira wala kutumia lugha chafu na ubabe. Ni mwelekezaji zaidi, hawezi kukurushia maneno ya kuudhi maana anajua kukuudhi au kukuumiza ni kuharibu maana nzima ya penzi lenu.Bila shaka vipengele hivyo vimekubadilisha sana. Hadi wiki ijayo kwa mada nyingine, USIKOSE!

Msichana wa kazi amwagiwa Uji wa moto,Kisa wivu wa mapenzi



Msichana mmoja mkazi wa eneo la Minga katika Manispaa ya Singida (muuza duka), amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri yake na kumsababishia maumivu makali kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.


Muuguzi wa zamu katika Hospitali ya mkoa wa Singida, wodi namba mbili ya wanawake, Anna Sprian amefahamisha kuwa binti huyo amejeruhiwa sehemu za sikio la upande wa kulia na mgongoni, ambapo amesema hali ya mgonjwa huyo inaendelea vizuri kutokana na matibabu anayoyapata hospitalini hapo.

Amesema akiwa anaendelea na kazi zake za kuuza bidhaa mbalimbali dukani hapo, ghafla alitokea mke wa bosi wake akiwa na chupa yenye uji wa moto na kuwa alimmwagia usoni ambapo baada ya kumwagiwa uji huo alitaka kujiokoa ili usimmwagikie usoni na ndipo ulimuunguza kwenye sikio la kulia na mgongoni na kuwa baada ya mke wa bosi wake kumkosa uso alitoa kisu kutaka kumchoma kifuani.

 “Mimi sikuwa na ugomvi naye wala sijui chanzo cha yeye kufika dukani na kunifanyia vile jana, maana kama ni kazi mimi ninafanya kulingana na maelekezo kutoka kwa bosi wangu Chale lakini sijui kilichomfanya afikirie kunifanyia huu unyama” alisema.

Aidha, amesema katika purukushani za kujiokoa asichomwe kisu hicho, alifanikiwa kumkamata mkono mwanamke huyo na kupiga kelele za kuomba msaada ambapo watu walifika na kumwokoa baada ya muda mchache ambapo alichukuliwa na bosi wake hadi Kituo cha Polisi mjini Singida na kupewa PF3 kwa ajili ya matibabu na kupelekwa katika hospitali hiyo ambako amelazwa huku akiwa ma majeraha mwilini.

Wakiongea kwa nyakati tofauti  baadhi ya majirani wa familia hiyo, wameonyesha masikitiko yao juu ya tukio hilo na hatua ya mwananmke huyo kummwagia uji msichana huyo huku wakihusisha tukio hilo na wivu wa kimapenzi baina ya mfanyakazi huyo na mume wa mtuhumiwa.

“Kama aliona kama kuna sehemu kamkosea angemuonya au kama ameshindwa kueleweka basi angemshitaki hata polisi kwani kitu alichokifanya hakiendani na haki za binadamu kwakuwa ni kumdhalilisha huyu msichana ambaye alikuwa akifanya kazi kwa ajili ya kujipatia kipato chake na familia yake." alisema  shuhuda   mmoja

Kamanda wa Polisi Mkoani hapa, Geofrey Kamwela, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuwa wanamshikilia mtuhumiwa kwa mahojiano na mara baada ya upelelezi kukamilika atafikishwa Mahakamani kujibu tuhuma hizo.

Mke wa mtu sumu!! Mrembo amwagiwa mafuta ya moto usoni baada ya kufumaniwa akingonoka na mme wa mtu



Mrembo aliyefahamika kwa jina moja la Mbuva, mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar, hivi karibuni amejikuta akiharibiwa uso wake kwa kumwagiwa mafuta ya moto na shosti wake aitwaye Mama Sofia, kisa kikidaiwa ni mume wa mtu.


Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo inadaiwa mama Sofia alimfanyia mwenzake unyama huo akimtuhumu kutembea na bwana wake.Akisimulia ilivyokuwa, Mbuva alisema: “Mama Sofia alipewa maneno ya uongo kwamba akiwa safarini eti nilitembea na bwana wake.

“Siku ya tukio alinipigia simu akaniita kwake, nilikuwa sipajui ila akanielekeza, ile nafika tu majirani zake wakamwambia mimi ndiye nilikuwa nakwenda kulala pale na mume wake.“Nikajaribu kujitetea lakini hakunielewa. Nikaondoka, baadaye akaniita tena, kufika pale nikakuta ugomvi kati ya mama Sofia na mumewe, ghafla mama Sofia akatoka akiwa na kikombe cha mafuta ya moto akanimwagia usoni.

“Nikaanza kupiga kelele, watu wakajaa  ndipo tukachukuliwa wote na kupelekwa katika Kituo cha Polisi cha Mazizini na tukaandikisha, mimi nikakimbizwa hospitali. Ameniharibu uso wangu bila kosa, Mungu atanilipia kwani naamini malipo ni hapahapa duniani.”

Mama Sofia hakuweza kupatikana mara moja kuzungumzia tukio hilo.

Nampenda binamu yangu maana ananipa mapenzi mpaka najisikia raha



Mimi na dada yangu mtoto wa mjomba tumekuwa pamoja na kuzoeana sana, hadi wakati mwengine hutaniana kupita kiasi, Binti huyo yani binamu anaishi moshi na mjomba ambako mimi huenda mara kwa mara pindi nikiwa likizo.

Mjomba angu ni mkali sana, na huchunga sana watoto wake wakike, hivyo binamu yangu huyo ni mtoto wa geti kali ile mbaya hakuna kwenda popote zaidi ya kwenye bustani tu iliyopo nje hapo nyumbani.


Mjomba angu huniamini sana hata wakati mwengine husafiri na mke wake na kuniacha nyumbani hapo na binamu yangu huyo. Siku moja mjomba alipata safari ya kwenda nairobi na kuniacha mimi binamu na dada wa kazi. Hiyo siku binti huyo alivaa nguo ambao sijawahi kuona amevaa toka nimjue alikuwa akizunguka hapo ndani huku akijiachia bila wasi wala kujali mimi nipo. Kwakweli ni msichana mwenye mvuto yani kama una moyo mwepesi unaweza kuomba tunda. Ilifika wakati mpaka akaanza kuja na chumbani kwangu akiwa amevaa nusu uchi nakutaka ni mfanyie massage akidai mgongo unamuuma, sikuweza kufanya hivyo mpaka akaniuliza kwanini unanifanyia hivyo, na mimi nikamuuliza kwani hujui mi ni nani yako akajibu kwa unyonge sina jinsi naumia nisaidie hatojua mtu, daah basi nilimuelewa nikamfanyia massage na nikamuacha aende kwakweli ulikuwa ni wakati mgumu sana kwangu mpaka pale mjomba alivyorudi na nikaaga nikaondoka zangu. ila nashukuru sikutegeka.. Japo Niliwahi kusikia Kuwa Eti binamu ni Nyama ya Hamu ..Je Ukweli?

Hii ndiyo saikolojia wanayotumia wanawake wengi kumchagua mwanaume bora...



Wanasaikolojia wakiongozwa na mwanasaikolojia Benedict Jones wamegundua kwamba, mwanamke akitaka kupima uzuri wa mwanaume ambaye angependa kuwa rafiki au mpenzi wake, hupenda kujua kama hata wanawake wenzie wanampenda kama yeye anavyompenda.

Anavyozidi kuwaona wanawake wenzie wakitabasamu au kumchekea mwanaume huyo anapopita mbele yao ndivyo atakavyojua kwamba, huyo mwanaume ni mzuri.


Hali hii inafahamika kama copycat reflex na ni matokeo ya nadharia ya Darwin ya mambo ya mabadiliko ya maumbile ya viumbe, kwa mujibu wa wataalamu hao, yaweza kutumika pale ambapo mwanamke anakumbana na wanaume wengi wanaomtaka lakini anapata matatizo ya kumchagua yupi na kumwacha yupi.

Au akiona uchaguzi wa mwanaume bora utamchukulia muda wake mwingi na nguvu zake hujirahisishia kwa kuchukua uamuzi wa kuwaangalia wanawake wenzie wanavyomwona mchumba wake mtarajiwa.

Uchunguzi huu hufanyika bila wanawake wenzie kujua kwa hiyo mwanaume anayeonekana kuchangamkiwa sana na wanawake wenzake kwa lengo la kumvuta ili awe mpenzi wake ndiye ambaye atapata uwezekano mkubwa wa kukubaliwa na mwanamke huyo.

Hivi kwani wakina Dada wengi wanapenda wanaume wahuni na kudharau wapole?

Utakuta kila mara anapigwa anatukanwa na kugundua ana Wasichana wengine lakini yumo tu kazi ni kulalamika kwa mashoga zake, huko watamshauri aachane na huyo jamaa katili na muhuni lakini utakuta anawadharau anaenda tena.

Naamini hili halipo kwa Wakurya tu ni wanawake in general hawapendi watu soft. Kweli hawa viumbe ni wa ajabu sana wakati mwingine si mke wa mtu ni mpenzi tu chuoni ama uraiani hata kwenye mashule wanapigwa tu na kuendelea kuwa na Body Boys
Wakati mwingine ni kama wanachokoza ili wapigwe maana wakionywa jambo flani wanarudia kisha wanapigwa halafu wanaunda jopo la kuomba msamaha.

Je ni Tatizo la Kisaikologia ama ndo Nyota za Punda ?

Wasichana wa aina hii ni hatari sana kuwa nao kimapenzi



 Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..

1.Demu wako wa zamani
Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba hakika mwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu, ndani ya hizo sababu kuna vitu vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini utagundua ni za asili na ambazo si rahisi kwa mmoja wenu kuzibadilisha sababu ni vitu au mambo ambayo yatakuwa ni ya damuni.

2.Dada wa rafiki yako kipenzi
Epukana na kujiingiza kwenye mahusiano na dada wa rafiki yako. Si tu kwamba utaweza kujiingiza kwenye uhasama na chuki kama mambo hayatakwenda sawa, ila pia utaweza kujiweka kwenye mazingira ya kujikuta siku moja unapigwa hata ngumi za uso sababu tu ulimuumiza dada yake. Pia, utaweza kumkosa mtu ambaye ndie alikuwa ni kimbilio lako kwa mambo mbalimbali pale ambapo itatokea wewe na dada yake mambo kutokwenda sawa, sababu hapo patakuwa na mgongano wa kimaslahi kwa huyo rafiki yako.


3.Wanawake wenye mambo mengi
Kiukweli, kutoka na watu kama hawa kinaweza kuwa ni kitu cha kufurahisha, ila mwisho wa siku itakuingiza kwenye matatizo. Mara zote kumbuka ni vyema kuwa salama kuliko kujuta. Usijiingize kwenye majaribu ambayo utakuja kuyajutia kwa maisha yako yote.

4.Wanawake wanaopenda hela kupitiliza (Wachunaji)
Kuwa mbali nao, labda kama unataka salio lako limalizike pasipo wewe kujifahamu. Naamini hili kila mmoja analifahamu na halihitaji darasa zaidi.

5.Demu wa zamani wa rafiki yako
Kama unathamini urafiki wako na mshikaji wako achana na habari ya kutoka na aliyekuwa demu wake. Mambo yanaweza kubadilika na kuwa kama au zaidi ya yaliyotokea kwa rafiki yako na ikaja kula kwako zaidi. Wakati mwengine inaweza tengeneza chuki kati yako na rafiki yako, huku akiamini kwamba ulikuwa unatoka au kumnyemelea demu wake toka zamani.
Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top