1. Mchepuko wa Lami: huu ni ule ambao hauombi pesa, upo njema unajua designer zote, katulia hana mapepe, uwe nae usiwe nae maisha yake yanaendelea.
2. Mchepuko wa Vumbi: huu ni ule ooh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, charge iko low, ooh nipo saloon nadaiwa elfu thelathini nitumie kwa tigopesa, naomba nauli, nadaiwa kodi, mtoto wa shangazi kaja, nrushie dompo, nk. Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtukie mchepuko vumbi unachafua na unasumbua fulltime!
3. Mchepuko kokoto: huu ni mkali zaidi ya njia kuu kila mara huuliza upo wapi? na nani?
Why hupokei simu yangu? Nomaaaa!

Post a Comment