Kweli sasa hivi mapenzi hayana atabu maana kama mama anafikia kulala na mkwe wake je nani atatoa ushauri katika nyumba maana na yeye anakuwa kama mke, Akijua kila madhaifu ya mume wa mwanae hii ni aibu kubwa mno kwa kizazi tunachoenda nacho..
>
Post a Comment