Miaka saba iliyopita nikikua katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja ambaye alikua bikra ilikua kama ifuatavyo.
Binti alikua wa kwanza kunitongoza pindi nilipoenda kwao sababu kaka yake alikua rafiki yangu baada ya kunitongoza nilimpotezea lakini aliendelea kunifuatilia mpaka nikamkumkubalia tukaanza mahusiano kiukweli hapo mwanzo alikua hana upinzani sema sikua na gheto na nikipanga siku fulani niwe nae may kwa kwenda gheto kwa marafiki tunapishana labda hana mda nk

Kiukweli alionesha kunipenda yaani kuliliwa ilikua kawaida nikisimama na msichana hata kama wa rafiki yangu atakuja mbio na kusimama pembeni nikapata gheto kwa rafiki yangu tatizo likawa hapo geto jmosi na jpili wenye nyumba wanakuepo hivyo ni vigumu kusex na siku zote anakua shule sasa juhudi zangu zikawa kumbebeleza atege shule tukategue bikra mambo yote haya yalienda kama miezi 8 hivi sasa kuna siku akamfuata rafiki yangu na kumwambia anaomba amfundishe maana anafundisha vizuri ni rafiki tu si yule mwenye geto sasa kila rafiki akipita kwao dem alikua anamshobokea mara mluzi wa busu nk
Rafiki bila hiana akaja kunieleza kua dem shobo nikamwambia ngoja nikamsikilize then ntakupa jibu juu ya uamuzi wangu nikamfuata dem nikamueleza nini kinaendelea akasema nothing nikamwambia dont dare to lie 2 me.
Aliendea hivyo kuna siku alikua amekaa na rafiki zake mi nikiwa na rafiki yangu tukapita mara akakimbia mbio baadae nilipomuuliza hakuna jibu la maana so nikamwambia ok wewe na rafiki yangu endeleni usinifatilie wala tusijuane akajibu sawa. Wakawa na mahusiano na rafiki yangu rafiki alikua ananiambia kila ki2 walienda hivyo kwa kama mwezi lakini dem nilimpenda sana na nilimpa special love hakuwai kua mpweke kama ikipita siku hajaniona atanipigia simu huku analalamika lakini rafiki alishindwa kufanya hivyo dem akaanza kutanga anga kutafuta bwana kwani aliamini atapata tu bwana atakaempenda kama mimi ila kurudi kwangu alikua anaogopa au anahisi mimi nitamrudia kweli nilikua nafanya hivyo zamani akawa anashanga wiki mwezi miezi kimya. Katika kutanga tanga kulikua na mjomba wake aliekua anakaa zamani huyu jamaa yupo tanapa na alishawahi kua bosi mkubwa tu pale maliasiri wizarani hapa karume kwa mbele hata kwenye harusi yake nyama zote zilikua ni za msituni
Kifupi jamaa ana hela nzuri na gari zaidi ya nne nyumba na nk na ni malaya sana na mwmepesi kuhonga hapo.
Binti akawa analeta shobo wakawa kwenye mahusiano na kwa kua walikua wanalala nyumba moja haikua kazi kumtoa bikra akamtoa bikra akawa mpenzi wake kisha akaampa mimba na kufanikiwa kuitoa tangu alipoachana na hana m2 rasmi zaidi ya wale wa kupiga. Akaanza kurudisha majeshi baada ya kuona future haioni na bikra hakuna alinimbembeleza sana nikamkatalia ila nikasema ngoja nipige si nikamkubalia kwa lengo la kupiga na kusepa loh alichosema anashukuru sana kwani bora nimerudi ninaemjulia akaja mazima simu kila saa usipopokea simu analia mmh nikiona isiwe tabu nikapotea ila hua anarudi na kuniita mpenzi direct kila mda but now kachuja sio mzuri kama mwanzo kawa kituko loh ilifika kipindi alikua ananiambia upo wapi nikufuate nikupe penzi wakati mwanzo alikua hataki mmh kuchuja kubaya.
Mwisho sijutii kabisa kwa uamuzi wa kuachana nae kweli mimi naona mbali na inteligence man kwani alivyoanza shobo kwa wa2 moja kwa moja nikajua kinachofuata mimba kama akiitoa na kupata matatizo mimi huenda nikausika au hata kubambikiwa na hicho ndicho kilichotokea hadi ndugu zake walijua kua ana mimba but waliogopa kumwambia shangazi yao hapo wakakaa kimya kusubuli la kutokea hv sasa yupo mtwara anasoma tpsc na ni anajiuza kwa vibabu ili apate pesa hii ni true story na sijutii kujitoa katika huu msala..

Post a Comment