> AIBU ..... Tazama Malaya wanavyo mpagawisha predeshee kunako klabu | MAPENZI

AIBU ..... Tazama Malaya wanavyo mpagawisha predeshee kunako klabu

Kutoka kwa wanahabari wetu, katika klabu mmoja ya River road imekuwa maarufu kwa biashara ya ngono kwa watu maarufu kama Wabunge na wafanyabiashara kufika hapo na kisha wadada kuanza kuwachezea sehemu mbalimbali za miili yao huku wakiendele kupata kinywaji.
Katika habari ambayo ni yakustahabisha ni kwamba wasichana hao ni wanafunzi wa chuo kikuu katika eneo hilo ambao huwakaribisha wanasiasa na wafanyabiashara na kuwapa huduma ya vinywaji pamoja na wao wenye kujiuza.

 Kila Jumatano usiku kinachotokea katika klabu hiyo kinaweza tu ikilinganishwa na Sodoma na Gomora. Mbunge na wafanyabiashara uingia katika club hiyo na kufundishwa mitindo mipya ya S3X katika usiku huo.

Baadhi ya wabunge hutumia hadi shilingi 200,000 usiku moja wakati wengine wamefanya klabu hiyo kuwa nyumba yao ya pili. Mmiliki wa klabu hutumia pia fursa hiyo kwa kuingiza fedha ya vyumba na wahudumu kwani ukimtaka muhudumu unamlipia shilingi 8000 na baada ya hapo unaondoka nae kuvunja amri ya sita.

Jambo lakushangaza ni kwamba si kila Mkenya anaruhusiwa kuingia katika klabu hiyo bali ni wale wanachama tu na kunaulinzi mkali na wakutisha pale tu utakapo kamatwa.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top