> Je unamkuna mwanamke wako vizuri??//..Soma zaidi hapa | MAPENZI

Je unamkuna mwanamke wako vizuri??//..Soma zaidi hapa

Leo acha niwape dondoo kadhaa kuhusu namna ya kujua kama umemkuna ipasavyo mwanamke wakati wa tendo la ndoa.

1.Kufinya shuka kwa nguvu
Kufinya shuka au kitanda kwa nguvu wakati unampa mambo ni ishara mojawapo ya kuonyesha kwamba inamkuna vizuri.

2.Kukukumbatia kwa nguvu au kukufinya:
Hii pia no moja kati ya ishara nyimgi anazoonyesha mwanamke pindi anapo kunwa vizuri.

3.Kutokwa na jasho ndani ya sekunde chache:
Ukiona anatokwa na jasho ndani ya sekunde chache na katika hali isiyo ua kawaida basi jua kua utendaji wako ni mzuri na unamridhisha.

Acha niishie hapo kwa leo, lakini sina maana kwamba kama mwanamke wako haonyeshi moja kati ya ishara hizo au zote basi ndio inamaanisha haumridhishi, hapana. Hizi ni baadhi tu, zipo nyingi tu.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top