> Makahaba wakodisha Gesti na kuwapanga wanaume foleni....Soma tukio zima hapa | MAPENZI

Makahaba wakodisha Gesti na kuwapanga wanaume foleni....Soma tukio zima hapa

Mrembo zuena  Mohammed anayedaiwa kukodi chumba cha katika gesti ya Mori Lodge na kuingiza wanaume kwa zamu usiku kucha.Tukio hilo chumba namba 14 katika gesti hiyo iliyopo Sinza jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni kwa ajili ya kutoa huduma haramu ya ngono.
Mazingira ya ndani ya chumba hicho yalionyesha mrembo huyo ni mpangaji wa kudumu ambapo kulikuwa na meza ya kujirembea iliyosheheni mazagazaga ya vipodozi na pia ndani ya chumba hicho kulikuwa na kondom zilizotumika na zisizotumika zikiwa zimezagaa sakafuni jambo lililodhibitisha kuwepo kwa vitendo hivyo vichafu.

Wakati mrembo huyo akinaswa baadhi ya wanaume waliokuwa wakisubiria huduma yake walioka nduki huku wachache wakitiwa mbaroni...wote walio kamatwa katika tukio hilo walipelekwa mahabusu kwenye kituo cha polisi Kijitonyama "Mabatini" kwa ajili ya hatua aidi za kisheria.
Kutokana na jinsi mrembo huyo 'anavyokula vichwa' alidai mambo yakienda vizuri anaweza kukusanya hadi shilingi laki mbili(200,000) kwa siku.
Mbali na mrembo huyo kukamatwa, wengine walionaswa wakijihusisha na biashara hiyo haramu ya ngono eneo hilo ni Shakira Thabit na Christina Benard ambao nao walitiwa mbaroni pamoja na wateja wao.
 HIVI WANAUME HUWA AMNA KINYAA KWANINI MNAKUBALI KUPANGWA FOLENI????????????

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top