> Mama kuwa makini na dada wa kazi maana kwastaili hii mumeo lazima atachepuka tu... | MAPENZI

Mama kuwa makini na dada wa kazi maana kwastaili hii mumeo lazima atachepuka tu...

Wapo watu ambao bado hawajajua madhara ya mavazi, mavazi yanaweza kuharibu nyumba, dada wa kazi akijiachia namna hii na mwenye nyumba unaangalia tu madhara ni makubwa labda kama mnaishi wawili tu hapo ndani ila kama unaishi na mumeo kazi unayooo..!!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top