> Mume wa mtu sumu..Jione kilichomkuta dada huyu baada ya kufumaniwa na mume wa mtu | MAPENZI

Mume wa mtu sumu..Jione kilichomkuta dada huyu baada ya kufumaniwa na mume wa mtu

Mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mume wa mtu kupitia njia za panya zilizoandaliwa na mke wa mwanaume huyo.

Baada ya mitego ya kumnasa kutimia, mwanamke huyo alikalishwa kitako na kisha kuanza kunyolewa nywele zake kwa kisu huku akitakiwa aeleze kila kitu na ni lini alianza kutoka na mume wa mtu.

Baada ya kumaliza kumnyoa nywele, "wafumaniaji" hao walichukua chupa na kumlazimisha mwanamke huyo aikalie ili amalize hamu zake.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top