> Tambua maneno haya muhimu ukiwa na Msichana Chumbani......You must read!! | MAPENZI

Tambua maneno haya muhimu ukiwa na Msichana Chumbani......You must read!!

1. Ukiwa na msichana chumbani kwako kisha anakuambia funga pazia chumba kiwe giza sipendelei mwanga, unafanya hivyo kisha unakuwa kama zimwi ujauelewa ujumbe wake hapo. My broad wewe ni bonafide dumb

2. Pindi akikuambia anajisikia baridi kisha unazima AC unawasha fan. My broad wewe ni bigwa wa kutoelewa ujumbe.

3. Pindi mkiwa mnatazama movie nzuri kisha anakuambia ainjoy then unamuambia muangalie movie nyingine anakuambia HAPANA… kama utakuwa bado ujampata ujumbe wake wewe ni boya katila level ya Master’s

4. Kama atakuambia ataondoka muda siyo mrefu akawa anakukumbusha kila baada ya dakika kadhaa kupita ukawa ujaelewa ujumbe wake. Wewe ni boya katika level ya PHD

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top