> BREAKING NEWSS..Moto waunguza kituo cha Tanesco Kurasini-Dar | MAPENZI

BREAKING NEWSS..Moto waunguza kituo cha Tanesco Kurasini-Dar

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kituo cha Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) kilichopo eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam kinaungua kwa moto muda huu. 


Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa.

Taarifa zaidi zitawajia hivi punde.
GPL

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top