> Chanzo cha maumivu makali katika u**e wakati wa kufanya mapenzi... | MAPENZI

Chanzo cha maumivu makali katika u**e wakati wa kufanya mapenzi...

Habari za asubuhi mdau wangu...Ni siku nyingine tena na tunakuja na mada kali zaidi inayoeleze vyanzo vya maumivu katika uke wakati kufanya mapenzi...Kunasabau nyingi mno ambazo zinaweza kusababisha maumivu katika uke na basi kama hauzifahamu endelea kuwa nasi hapa ili uzitambue..
Moja ya sababu kuu inayopelekea mwanamke kujiikia maumivu wakati akifanya mapenzi na mwenza wake..Lakini kabla sijahifafanua vizur sababu hii basi nivizuri tu ukajua hakuna mwanaume anaweza kumuhumiza mwanamke eti tu kwasababu uume wake ni mkubwa hapana maana uke wa mwanamke umeumbwa kuwa na urefu mno takribani cm 30 na vile hutanuka kulingana na saizi ya uume unaoingia hivyo basi hii si sababu ya mwanamke kuumia labda tu akiwa bado ni bikra ndo kwamara ya kwanza ataumia akiwa anafanya mapenzi lakini vinginevyo kunasababu kama zifuatavyo..

>>>Michubuko sehemu za uke
Hii ni sababu ambayo inaweza kupelekea mwanamke kupata maumivu makali wakati wa kufanya tendo na si hivyo tu bali hata maambukizi ya magonjwa inakuwa ni rahisi mno kutokana na hiyo michubuko..na vile vile maumivu haya yanweza kukpunguza hisia za kufanya tendo.
>>>Kufanya mapenzi ukiwa aupotayari
Maandalizi ya mwanzo hufanya maji maji kutoka aktika uke na hivyo kulainisha kuta za uke na pale tu pindi uume utakapokuwa unaingia basi utapata maumivu yoyote..Ila kama umelazimishwa au si kwa hiyari yako basi maandalizi haya yatakuwa hafifu na hivyo kupelekea uke kuwa mkavu na baadae msuguano utampa mwanamke maumivu makali katika uke wake..
>>>Pia kuingiza uume katika kisiwa cha burudani uchangia mwanamke kujisikia maumivu makali ikiwa tu utakuwa na pupa na mpenzi wako akiwa ajafikia ile hatua ya kukuhitaji kuingiliwa kwalengo la kula raha na utamu.

Kwaleo tuishie hapo ilazipo sababu nyingi sana zinazopelekea maumivu wakati wa kujamiiana na hizo hapo juu ni baadhi unaweza kushare zile unazozijua katika box letu la comment hapo ili kukuza elimu hii ya mapenzi na kusaidia watu kujisikia raha kamili wakiwa ndani ya sita kwa sita..Endelea kuwa nasi hapa kwa habari kali zaidi

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top