> Fumanizi!!Njemba yanaswa ikingonoka na mke wa mtu..Mwenye Mke adai fidia ya millioni 60..duuh.. | MAPENZI

Fumanizi!!Njemba yanaswa ikingonoka na mke wa mtu..Mwenye Mke adai fidia ya millioni 60..duuh..

Jamaa mmoja mkazi wa Bunju B jijini Dar ameingia katika mkasa mzito kisa kikiwa ni wivu wa mapenzi,Jamaa huyo ambaye jina lake limehifandiwa kiusalama zaidi alimfumania mke wake akiliwa uroda na mwanaume mwingine..Na baada ya hapo mashuhuda watukio hilo walidai kuwa Jamaa huyo ahukutaka kitu kingine zaidi ya fidia tu...ili akanunue gari aina la Land Cruiser VX


Kilichokuwa cha kushangaza ni kwamba baada ya fumanizi hilo waliokuwa wakifanya mapenzi walibaki wamenasana tu na ndipo mwenye mke akasema kama hawezi kutoa fidia na wabaki hivyo hivyo


Polisi walikuja kuwachukua na Kuwapeleka kituo cha polisi cha Bunju Usalama huku wakiwa  bado wamenasana.


Taarifa zaidi tutakuletea  baadaye..........

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top