> Dalili za Mwanamke aliyefika kileleni na si kwakuigiza ili kumfurahisha Mwanume | MAPENZI

Dalili za Mwanamke aliyefika kileleni na si kwakuigiza ili kumfurahisha Mwanume



Siku hizi baadhi ya wanawakewana tabia mbaya saba ya kujifanya wamefika kileleni kumbe bado.Wengine hujifanya kwa kupiga na kuongeza kelele za kimahaba ili kumfanya mwanaume aamini kwamba amemfikisha kabisa. Kwa namna hii badi mwanaume atajiona dume la mbegu kumbe "hatoshi" na mara nyingine inawapa shida sana wanaume kujua kama ni kweli wamewaridhisha na kuwafikisha wake zao au wanadanganywa. Ufuatao ni mwongozo ambao utakufanya ugundue janja ya mwongo ambaye uko naye kwa wakati huo mkipeana raha.

1. MISULI YA UKE WAKE ITAKUWA INAKAZA NA KUACHIA.
Akiwa anakaribia kufika kileleni,kwa ile raha atakayokuwa anasikia automatically na hatoweza kujizuia,atajikuta misuli ya uke wake inakaza na kuachia,itaanza taratibu lakini kadri anavyokaribia kufika kileleni na speed ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke wake itakuwa inaongezeka.


Ninaposema misuli ya uke wake itakuwa inakaza na kuachia,namaanisha mashine yako ikiwa ndani ya uke wake,akiwa anakaribia kufika kileleni,utaanza kuhisi uke wake unaibana mashine yako kwa sekunde kadhaa kisha inaachia. (Kitendo cha uke wake kuibana na kuiachia machine kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka afike kileleni)

2.UKE WAKE UTAZIDI KULOA AU ATASQUIT.
Kwa maana ambayo haipo complicated sana,kusquit ni kitendo cha mwanamke kukojoa akifika kileleni wakati wa kupeana raha na utamu.G-spot ikipata msuguano wa kutosha hapo mwanamke ataweza kusquit na ndio maana hiyo.Hamu ya kukojoa wanawake wengi wanaipata katikati ya tendo la kupeana raha na utamu,wengine wanaweza kuipata wakati wa maandalizi kama mwanaume ataweza kuichezea vizuri G-spot ya mwanamke.G-spot ikipata msisimko wa kutosha,hutoa taarifa kwa female prostate,female prostate itatengeneza hayo majimaji yakiwa tayari,utajisikia kukojoa,ukijiachia ili yatoke yatapitia kwenye urethra kama mkojo lakini sio mkojo.

Asilimia kubwa ya wanawake,wakati wa kupeana raha na utamu kuna muda huwa wanajisikia kama kukojoa,wanaomba wakakojoe lakini kumbe ni majimaji ya kusquit hivyo muda mwingine kabla ya kumake love,kojoa kabisa ili kibofu chako cha mkojo kiwe empty ili katikati ya tendo ukisikia kukojoa ujue unakaribia kusquit.kwahiyo jiachie lii uweze kupata raha na utamu wa kufika kileleni kwa njia ya kusquit.

Sio wanawake wote wanaweza kusquit,kama ikitokea hujaweza usijisikie vibaya,unatakiwa kujijua kuwa upo katika kundi la wale wanawake ambao wakifika kileleni uke wao huwa unazidi kuloa badala ya kusquit

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top