Jina lake anaitwa Queen ni msichana mrembo lakini kimtazamo ni kama mwanaume kutoka na masharubu aliyokuwa nayo na pia nywele nyingi za kifuani, Queen ni mtoto wa nne katika familia yao yenye watoto watano akizungimzia maswawabu anayokutana nayo baada ya muonekano wake kwa njia ya mtandao Queen Anasema....
“Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima.
“Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima.
“Mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli….
Nakuhusu changamoto za mahusiano ,Queen alisema:“Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hunikimbia kutokana na hali hii”
Nakuhusu changamoto za mahusiano ,Queen alisema:“Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hunikimbia kutokana na hali hii”
Post a Comment