> Makalio kwa wanawake ni dili mno...Unajua kwanini?? | MAPENZI

Makalio kwa wanawake ni dili mno...Unajua kwanini??

Wanaume rahisi rahisi ukamatwa kirahi na kutoa mikwanja mizito kwa wanawake wenye makalio makubwa na hivyo kuwafanya wanawake wayaone ni dili mno...Lakini kiuhalisia ni kwamba makalio makubwa wala si ishu kwani ni kama ugonjwa tu na hivyo nawashauri wakinadada wezangu kuacha kutupia/kupiga picha wakiwawanaonyesha makalio ya kwa vigezo vya kuwatamanisha wanaume maana si ishu sana...

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top