> Laana!! Mwanamuziki huyu wa nyimbo za injili atupia picha zake za utupu mtandaoni | MAPENZI

Laana!! Mwanamuziki huyu wa nyimbo za injili atupia picha zake za utupu mtandaoni

Katika vitabu vitakatifu imeandikwa kuwa ifikaposiku za mwisho basi kuna maajabu mengi yatatokea na sasa naanza kuamini hilo maana kama mwanamuziki wa nyimbo za kumsifu Muumba anaweza kupiga picha za utupu je itakuaje kwa yule mpagani ambaye bado hajui chochote kuhusu hofu ya mungu..Shetani anatumia mamlaka yake kukutawanyisha katika kipini hichi ni vzuri tukawa makini katika hilo na tusisahau uepo wa Mungu na kumuomba kila tutakapokuwa tunajiikia kuwa  ni wadhaifu na kumkemea pepo mchafu kwa nguvu zote..AMENI!!!!!



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top