> DUUUH!!Mambo ya kutongoza wasichana msiowafahamu..Angalia yasikukute haya utajuta | MAPENZI

DUUUH!!Mambo ya kutongoza wasichana msiowafahamu..Angalia yasikukute haya utajuta

Wanaume wa sikuizi si hata wakuaminika kabisa hivi unawezaje kukutana na mtu ataumfahamu then unamtongoza na unataka ukalale nae siku hiyo hiyo je hayo ni mapenzi au ni tamaa tu..Be honest with your love kama kweli umempenda mtu weka tamaa pembeni then mchunguze  maana wengi wetu tunaamini kuwa love is the first sight  kwahiyo basi kuwa na uhaakika wa kile unachokiwaza kwanza kabla ya kuchukua maamuzi si kila msichana unae muona tu unadhai ni wako ...Kunamagonjwa pia jamanii

kuwa makini sana jamii eeeh!!!!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top