> Msichana anamlazimisha mpenzi wake amle T*go....Anaomba ushauri wako afanyeje??? | MAPENZI

Msichana anamlazimisha mpenzi wake amle T*go....Anaomba ushauri wako afanyeje???

Hivi karibuni kuna kijana mmoja ambaye anadai ni mwanafunzi katika chuo fulani maarufu hapa tz alini-inbox na kuomba ushauri juu ya tatizo lake kubwa ambalo linamsumbua kwa siku nyingi, Kijana huyo alidai kuwa ana mpenzi wake ambao wamekuwa ane kwa miaka mingi sasa lakini ameanza tabia ambayo hakuwa nayo ya kutaka kufanya mapenzi kinyume na maumbile kitu ambacho yeye alidai hawezi kufanya hivyo na kumfanyia mtu anayempenda kwani anajua madhara yake..Lakini kila akimwelekeza wala asikii kwa lolote na akishindwa kumpa haki hiyo basi penzi lao lipo katika hatari kubwa ya kupotea au kuvunjika..Alidai anampenda sana sasa anaomba ushauri afanyeje ilikulinda penzi lake???

Jamani kama umeguswa na swala hili naomba maoni yako ilitumsaidie mwenzetu haya ni mapenzi na kila mtu yanaweza kumkuta labda leo kwake kesho kwako au kunawengine wamesha kumbwa na mambo kama haya ila tu kwa hofu wanaogopa kuomba ushauri ila maoni yako ndiyo yatawasaidia watu hawa katika hali ya juu nomba katika hilo mdau wangu wa ukweli ...

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top