Mabinti wengi wasasa umaskini ndiyo unaowaponza, na tamaa pia kwani wanapenda vitu ambavyo vipo nje ya huwezo wao na kujikuta wakifanya kazi mbaya kama hizi za kucheza uchi mbele ya watu ili tu wakidhi haja zao na hivyo kujikuta wakijutia baadae wakijidhalilisha na kufanyiwa vitu ambavyo kibinadamu havi staili kwaajili tu yakupata chapaa..Wanaume wantumia vibaya udhaifu wetu ili tu kukidhi haja zao plz naombeni mfunguke kifikra mawazo na akili pia ili swala hili liishe
Post a Comment