Kuna watu wa ajabu sana.
Anatokea mtu anaweza kuwa mwanamke au mwanaume kuomba mahusioni ya kimapenzi kwa mwingine.
Sana sana kwenye jumuiya mfano chuo,maofisini na ata kwenye viwanda mahali ambapo watu wanakutana mara kwa mara.
Mtu amekutungoza umemkataa au amekukuta tayari una mtu unaishi nae kuna sababu gani kumtangaza kwa watu wote kuwa fulani nimemkataa.
Kinachokufanya kila mtu umwambie kuwa umekataa mtu fulani nini?
Ili uonekana unatafutwa sana na watu au mzuri sana?
Ukimkataa mtu na yeye akikuelewa basi hakuna sababu yakutangaza chuo kizima au ofisi yote adi walinzi wajue.
Wenye tabia hii acheni Mara moja.

Post a Comment