> Ukioa mwanamke kama huyu andika umeuziwa Mbuzi kwenye Gunia | MAPENZI

Ukioa mwanamke kama huyu andika umeuziwa Mbuzi kwenye Gunia



Nimetoka kuoa kabila moja kubwa kaskazini huko hasara tupu kwa kweli tulikua kwenye uchumba zaidi ya miaka miwili na nusu aliniambia yeye bado bikra kwahiyo nimvumilie hadi ndoa ndo tuta duu nikamkubalia kweli tumefunga ndoa miezi sita sasa imepita sijakuta cha bikra wala birika nimeambulia kopo la kufa mtu , pili gogo hajigusi hata kutoa mguno wa uongo kitandani kama nimenunua s3x dolly vile,hataki kufanyiwa love play , hataki massage kwa ufupi Nimeula wenye uzoefu hivi atakuja kubadilika? Wadada wa kichaga ndo mlivyo au ananiigizia?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top