> Unajua kwanini wanawake wengi hupenda wanaume wa Kisukuma? | MAPENZI

Unajua kwanini wanawake wengi hupenda wanaume wa Kisukuma?

Sifa za mabwana wa Kisukuma.
Ma giant, wamepanda na wameshiba, fully protected ukiwa naye mmoja.
Wanajali, kwao hamna uchoyo, ubahili wala kujiuliza mara mbili kwa mpenzi wake.

Hawaruhusu majungu, wambeya hata wampelekee semi trailer la majungu kamwe hawasikilizi.

Wako fit kitandani na hawachoki. Wasukuma wanapiga mabao kumi na mbili na bado wakitoka hapo wanaenda kupiga puli mabao manne.

Hawana majisifu kama kina Mutashobya, Rugakingira, Rweyemamu etc.
Hawana roho mbaya wala za kwanini.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top