> Unapomfumania mpenzi wako na mchepuko nani wakwanza kumuangalia? | MAPENZI

Unapomfumania mpenzi wako na mchepuko nani wakwanza kumuangalia?

Inapotokea umemkamata mpenzi wako na mchepuko live nani wa kum-face kati ya mchepuko na mpenzi wako?
Mara nyingi naona asilimia kubwa ya wengi huwa wana attack mchepuko wakisahau mchepukaji ni jitu zima na akili zake ambalo halijawekewa risasi kichwani na kulazimishwa lichepuke.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top