> Fahamu kuhusu mzunguko wa hedhi kwa mwanamke na siku za hatari... | MAPENZI

Fahamu kuhusu mzunguko wa hedhi kwa mwanamke na siku za hatari...

Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa kawaida wa siku 28. Yai la mwanamke hupevuka (ovulation) siku ya 14 baada ya bleed na likikutana mbegu ya kiume siku hiyo hutunga mimba (nyege huwa kali na uteute kuwa mzito unaovutika).Pia kunauwezekano pia wa kushika mimba siku 3 kabla ya yai kupevuka au siku 3 baada ya yai kupevuka, yaani kuanzia siku ya 11 mpaka siku ya 17 baada ya bleed. Kwakuwa mbegu za kiume huwa hai ndani ya uke kwa siku 3 tu (masaa 72) kabla ya kufa na Yai lamwanamke hukaa siku 3 tu (72hours) likisubiri mbegu za kiume kutunga mimba kabla ya kufa. Uki sex siku ya 11 mbegu zitakuwa bado active kwenye uke kwa siku 3 na kulikuta yai siku ya 14 ya kupevuka kwake hapo mimba hutungwa.Na iwapo pia ukisex siku ya 17 ambapo ndio siku ya mwisho ya uhai wa yai kusubiri mbegu za kiume hapo mimba hutunga.
Kwa wale wenye siku zinazobadilikabadilika (22, 24, 26, 30) kutokana na stress, vyakula,madawa, maradhi au mshituko ili kutafuta mtoto mnashauriwa kusex siku 7 kabla ya yai kupevuka, siku ya yai kupevuka, hadi siku 7 baada ya kupevuka. ila kwa uhakika wa kutopata mimba ni kusex kuanzia siku ya 17 hadi siku moja kabla ya bleed.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top