Jamaa mmoja mkazi wa Bunju B jijini Dar ameingia katika mkasa mzito kisa kikiwa ni wivu wa mapenzi,Jamaa huyo ambaye jina lake limehifandiwa kiusalama zaidi alimfumania mke wake akiliwa uroda na mwanaume mwingine..Na baada ya hapo mashuhuda watukio hilo walidai kuwa Jamaa huyo ahukutaka kitu kingine zaidi ya fidia tu...ili akanunue gari aina la Land Cruiser VX
Kilichokuwa cha kushangaza ni kwamba baada ya fumanizi hilo waliokuwa wakifanya mapenzi walibaki wamenasana tu na ndipo mwenye mke akasema kama hawezi kutoa fidia na wabaki hivyo hivyo
Polisi walikuja kuwachukua na Kuwapeleka kituo cha polisi cha Bunju Usalama huku wakiwa bado wamenasana.
Taarifa zaidi tutakuletea baadaye..........
Home » Unlabelled » Fumanizi!!Njemba yanaswa ikingonoka na mke wa mtu..Mwenye Mke adai fidia ya millioni 60..duuh..
Post a Comment