-Wadau Naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.
-Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:
- kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"

-Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....
Sms ya Pili ipo hivi.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hizi sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi
-Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?
Post a Comment