> Jifunze vishawishi vya kuanzisha mahusiano | MAPENZI

Jifunze vishawishi vya kuanzisha mahusiano

 Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo
lengo lake ni kula mzigo. Kuna sanaa zingine za
ushawishi kama vile ushawishi wa kibiashara
ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna
ushawishi wa kisiasa ambapo lengo ni kupata
kura.

Wakati sanaa karibia zingine zote za
ushawishi ni rahisi kujifunza, sanaa ya
kutongoza watu wengi wanasema eti
haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua
kutongoza.


Sio Kweli !!!
Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua
kutongoza, kwa sababu kuna mwanaume
anaweza akongea na demu mpya leo na akala
mzigo leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya
wiki moja; wakati huo huo kuna wanaume
wengine wanahangaika miezi au hata miaka
kula mzigo. Au wengine wanatoboka sana
mifukoni .... unakuta mtu anampangishia demu
nyumba, au anamlipia ada ndio ale mzigo.
Wakati huo huo kuna wengine wanakula hapo
hapo bure, tena bila kunawa!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top