> Madhara ya kufanya mapenzi na mwanamke akiwa katika siku zake | MAPENZI

Madhara ya kufanya mapenzi na mwanamke akiwa katika siku zake

Jamani naomba kuuliza Swali Je Kuna madhara yoyote kwa pande zote mbili endapo tendo la ndoa likafanyika pindi mwanamke akiwa katika siku zake?

Kama mara mbili hivi nimejikuta nikizidiwa na kufanya kitendo hicho katika hizo siku sasa napata wasiwasi naomba mwenye kujua atujuze kwa kutuandikia maoni yake kwenye kisanduku cha maoni hapo chini..


1 comments:

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top