Mapenzi ni kitu cha ajabu sana na kutokana na kitu upendo now days watu wengi wanashindwa kabisa kuji-control na kufanya mambo ambayo ni ya aibu na kusikitisha kwa katika jamii kwani binadamu tumepewa akili ya kuji-control kutambua jema na baya sasa twapaswa kufikiri kabla ya kutenda...
Post a Comment