Habari
za asubuhi mdau wangu...Ni siku nyingine tena na tunakuja na mada kali
zaidi inayoeleze vyanzo vya maumivu katika uke wakati kufanya
mapenzi...Kunasabau nyingi mno ambazo zinaweza kusababisha maumivu
katika uke na basi kama hauzifahamu endelea kuwa nasi hapa ili
uzitambue..
Moja
ya sababu kuu inayopelekea mwanamke kujiikia maumivu wakati akifanya
mapenzi na mwenza wake..Lakini kabla sijahifafanua vizur sababu hii basi
nivizuri tu ukajua hakuna mwanaume anaweza kumuhumiza mwanamke eti tu
kwasababu uume wake ni mkubwa hapana maana uke wa mwanamke umeumbwa kuwa
na urefu mno takribani cm 30 na vile hutanuka kulingana na saizi ya
uume unaoingia hivyo basi hii si sababu ya mwanamke kuumia labda tu
akiwa bado ni bikra ndo kwamara ya kwanza ataumia akiwa anafanya mapenzi
lakini vinginevyo kunasababu kama zifuatavyo..
>>>Michubuko sehemu za uke
Hii ni sababu ambayo inaweza kupelekea mwanamke kupata maumivu makali wakati wa kufanya tendo na si hivyo tu bali hata maambukizi ya magonjwa inakuwa ni rahisi mno kutokana na hiyo michubuko..na vile vile maumivu haya yanweza kukpunguza hisia za kufanya tendo.
>>>Kufanya mapenzi ukiwa aupotayari
Maandalizi ya mwanzo hufanya maji maji kutoka aktika uke na hivyo kulainisha kuta za uke na pale tu pindi uume utakapokuwa unaingia basi utapata maumivu yoyote..Ila kama umelazimishwa au si kwa hiyari yako basi maandalizi haya yatakuwa hafifu na hivyo kupelekea uke kuwa mkavu na baadae msuguano utampa mwanamke maumivu makali katika uke wake..
>>>Pia kuingiza uume katika kisiwa cha burudani uchangia mwanamke kujisikia maumivu makali ikiwa tu utakuwa na pupa na mpenzi wako akiwa ajafikia ile hatua ya kukuhitaji kuingiliwa kwalengo la kula raha na utamu.
Kwaleo tuishie hapo ilazipo sababu nyingi sana zinazopelekea maumivu wakati wa kujamiiana na hizo hapo juu ni baadhi unaweza kushare zile unazozijua katika box letu la comment hapo ili kukuza elimu hii ya mapenzi na kusaidia watu kujisikia raha kamili wakiwa ndani ya sita kwa sita..Endelea kuwa nasi hapa kwa habari kali zaidi
Post a Comment