Wanaume wa sikuizi si hata wakuaminika kabisa hivi unawezaje kukutana na mtu ataumfahamu then unamtongoza na unataka ukalale nae siku hiyo hiyo je hayo ni mapenzi au ni tamaa tu..Be honest with your love kama kweli umempenda mtu weka tamaa pembeni then mchunguze maana wengi wetu tunaamini kuwa love is the first sight kwahiyo basi kuwa na uhaakika wa kile unachokiwaza kwanza kabla ya kuchukua maamuzi si kila msichana unae muona tu unadhai ni wako ...Kunamagonjwa pia jamanii
kuwa makini sana jamii eeeh!!!!
Post a Comment