Ni aibu kweli tunanapopeleka wadodo wetu wakafundishwe maadili mazuri na waalimu alafu wao ndo wanakuwa chanzo cha kuwapotosha watoto wetu na kuwalaghahi na kwenda kufanya nao mapenzi kama mwalimu huyu aliyefumaniwa Je akiingia darasani kumfundisha mwanafunzi huyo atakuwa anaelewa tena au ndo itakuwa anawaza tu TICHA ni mtamu na mambo mengine kama hayo waliyokuwa wanafanya GEST????
Post a Comment