> OMG!!! Msichana ajinyonga hadi kufa baada ya kumfumani Boy wake akila uroda na rafiki yake...Ingia... | MAPENZI

OMG!!! Msichana ajinyonga hadi kufa baada ya kumfumani Boy wake akila uroda na rafiki yake...Ingia...

Msichana mdogo na mrembo kutoka Nigeria amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachosemekana kuwa ni wivu wa mapenzi..Msichana huyo alichukua maamuzi hayo magumu baada ya kumfumania mpenzi akitendea na rafiki yake(Kimapenzi).

Kutoka na mashuhuda wa tukio hili wanasema mwili wa msichana huyo ulikutwa nyuma ya nyumba yao sikuchache baada ya kuachana na mpenzi wa baada ya kugombana na hata jina la huyo rafiki yake anayetembea na mpenzi wake alikujulikana maana alikataa kusema....




Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MAPENZI Published.. .
Back To Top