Utafiti
uliofanywa na chuo kimoja kikuu nchini Marekani, imebainisha kama
ukitaka kujua iwapo mwanamke amevutiwa na wewe, inabidi uangalie zaidi
ishara kuliko maongezi, na hii kuhitimisha wanawake huongea tofauti na
wanachomaanisha.
zifuatazo ni ishara kumi zilizothibitishwa na watafiti
pamoja na wanasayansi ambazo mwanamke hufanya pindi anapovutiwa na wewe
akiwa anajijua au hakiwa hajijui ili kukuonyesha kama amevutika nawe.
Jifunze ishara hizi na maisha yako ya kimahusiano yatabadilika kwa hali ambayo hautaitarajia.
1; Anashika au kupikicha nywele.
Kwa
zaidi ya miaka 40, watafiti wamenyumbuisha tabia wanazozifanya wanawake
kukujulisha wamevutiwa na wewe, iwapo mwanamke akizishika shika nywele
zake kwa muda mfupi inaweza kuwa ishara ya kukupa taarifa ya kuwa
anafurahia uwepo wako, ila akiendelea kuzichezea kwa muda mrefu
inawezekana akawa katika hali ya kutokujiamini au hakuamini wewe.
2; Anauma midomo yake.
Tabia
hii mwanamke huifanya ili kuhamisha fikra zako kuelekea kwenye midomo
yake, inaweza maanisha ukienda na ukiwa mchombezaji mzuri mabusu
yanaweza kuwa ya kufikia, inabidi uwe mwangalifu sana wakati wa
kuitambua hii tabia na akiwa anauma midomo yake kwa muda inamaanisha
amevutiwa nawe ila kuuma midomo mara kwa mara inaweza onyesha ndio
mazoea yake, kwa hiyo kuwa makini kutofautisha kati ya hizo tabia mbili.
3; Anacheka cheka, kukusumbua na kukuangalia kwa macho mazuri.
3; Anacheka cheka, kukusumbua na kukuangalia kwa macho mazuri.
Hii
tabia zipo pande zote mbili, hata wanaume pia huifanya ila kwa wanawake
wanaweza pia kuitumia ili kukujua nia yako kwao, kwa hio usiichukulie
kwa haraka sana inawezekana anakujaribu tu.
4; Anakukaribia sana kimwili.
4; Anakukaribia sana kimwili.
Ukaribu
tunao karibia watu inategemeana na mahusiano yetu kwao, ukimkaribia mtu
sana huwa mara zote ni katika hali ya upendo, kwahio mwanamke
akikukaribia sana inawezekana akawa anafanya hivyo ili upendezwe naye
zaidi, inabidi kabla hujafanya maamuzi yeyote hakikisha umehakikisha
mkaribio wake kwako sio wa hali ya kikawaida, na unaweza hakikisha kwa
kusogea kidogo ili kumtegeshea kama atasogea tena huku ukiwa na tabasamu
usoni.
5; Anachangia unachozungumza na kuongelea kuhusu mambo yake binafsi.
5; Anachangia unachozungumza na kuongelea kuhusu mambo yake binafsi.
Baada
ya kufanya mazungumzo kwa muda na kunoga, jaribu kupeleka mambo mbele
kwa kuanzisha mada ambayo inahusu maisha yako binafsi ila hakikisha mada
isiwe ya ndani sana na isiwe inaelekea kana kwamba unataka kumjua kwa
undani na maelezo yake yasiwe yanamlenga, hii itamfanya ajisikie huru na
kutokuogopa, iwapo mambo yakienda vizuri na amevutika nawe utaona na
yeye anachangia kwa kutoa mada inayohusu mambo yake binafsi, watu huwa
wanaongea kuhusu mambo ya ndani kwa watu wanaowapenda na kujisikia huru
mbele yao.
Iwapo maongezi haya mkiyafanya huku mnakula chipsi kwa pamoja itafanya mambo yaende vizuri zaidi, kutumia vitu pamoja huongeza ukaribu na maelewano zaidi.
6; Anakua na urafiki wa kimaongezi wakati mnaongea.

Sahau
kuhusu mistari ya kutongozea ulioifanyia mazoezi, ikija kwenye
kuangalia hamasa ya mwanamke kwako, huangalii jinsi unavyomsifia,
unaangalia mapokeo ya maneno unayomwambia, mwanamke akikujibu hata kama
kwenye hali ya kukataa jambo, akikujibu kwa sauti ya upole na laini ujue
amependezwa nawe, kwahiyo usiwahi kuondoka kutoka katika mazingira hayo
au sehemu hiyo, ila akikujibu kwa sauti ya ukali, tafuta pakutokea.
Ili kuondokana na kupoteza muda kutongoza mwanamke ambaye havutiwi na wewe, jaribu kwa kuanza na maswali rahisi ambayo majibu yake ni rahisi, kwa njia hii utajua kama kapendezwa na wewe au vipi, kama hajapendezwa na wewe utaona anakuondoa kwenye maongezi ila aliyependezwa na wewe ataendelea na maongezi.
7; Anakua katika mkao wa mwaliko kimaongezi.
Mwanamke akiwa amependezwa na wewe huwa anakua amekaa mkao wa mwaliko wa kimaongezi, akikuangalia anakua na macho ya kiurafiki na si ya ukali na hata ukiwa mbali utajua kwamba pozi na macho yake vinakuita. #3; Anakua na ishara unazozifanya wewe.

Mwanamke
akipendezwa nawe, atakua anajibu mapokeo ya ishara zako unazotoa, kwa
mfano ukitabasamu na yeye utamuona anatabasamu vile vile, ukicheka na
yeye atakufatiliza hivyo hivyo.
8; Anapindisha kichwa kidogo na kutabasamu.
Watafiti
wamebainisha mwanamke akipindisha kichwa kidogo na kuachia sehemu ya
shingo yake kuonekana kidogo ikifuatiwa na tabasamu mara nyingi anakua
amevutiwa na anachokiangalia.
9; Anachezesha macho.
9; Anachezesha macho.
Kukutanisha
macho ni kitendo cha ukaribu kwa binadamu, kurudia rudia au kuendeleza
kukutanisha macho huwa kuna maana kuu mbili, kwanza kuonyesha hali ya
mguso kihisia, na pili kuonyesha hali ya jazba. Ili kujua kama analo
hitaji la kuongea nawe, angalia jinsi anavyochezesha na kukutanisha
macho na wewe, utakuta mnakutanisha macho zaidi ya mara kadhaa na kukiwa
na tabasamu nyingi, kama ukiona mmekutanisha macho halafu akaacha
kukuangalia tena jua huyo hajavutika na wewe, na isiwe na shaka sana
maana mara nyingi kitu hichi huweza kutokea bila ya wewe kukitambua.
Post a Comment